Ngao ya Hisani Azam 2- Simba 2 September 11, 2012 Ni mapumziko katika mechi ya kugombea ngao ya hisani. Azam Fc wanaongoza kwa goli 2-1. Goli la simba limepatikana dakika ya 42 kwa njia ya penati. Dakika ya 69 simba wanasawazisha. Azam 2 - Simba 2 Read more
Ngao ya Hisani- Tanzania. Azam vs Simba September 11, 2012 Azam yaongoza 1-0. 36" John Bocco aipatia Azam goli la pili. Simba wanashindwa kabisa kuhimili counter attacks za Azam Read more